Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Mbona Magufuli hamkumwambia Abaki na URAIS?
 
Wakimpa mwenyekiti mwengine tutangaza katiba mpya tuvunje muungano wenu, shwain
 
Mtampaje uenyekiti mzanzibar mshiraz.
 
Mlishawahi kumpa ushauri huu mkuu JIWE? Nauliza tu
 
Cha AJABU jiwe uenyekiti alkua hautaki, walimlazimisha kabisa.

Sahivi kwa mama,
wanataka wanyang'anye

UPUUZ KABISA
Na alipokabidhiwa akautendea haki ... hakika JPM alikuwa chuma ...
 
Nilileta uzi humu kuhusu kofia 2 baada ya kupewa taarifa hizi , lakini uzi haukuomba hata maji
 
Aliyetangulia alizima mianya ya upigaji ndani ya Chama. Aliminya maslahi ya watu fulani hivyo imeonekana Mama asipewe nafasi tangu mapema.

Mtaukwaza urais wake na mtaikwaza Tanzania anayokusudia kuijenga.
 
Mama anatakiwa awe mwenyekiti ili aweze kusimia chama vizuri na kuindoa makundi hasimu juu ya viongozi kwa chuki binafsi
 
Kutenganisha nafasi ya mwenyekiti na rais ni HATARI kubwa mno.
Imagine rais atofautiane na mwenyekiti, rais aitwe kamati ya maadili mara puu!! rais avuliwa uanachama (coup d'tat).
Hii haikubaliki ni cheos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…