Rais Samia achungulie riba za mabenki, hali ni mbaya

Rais Samia achungulie riba za mabenki, hali ni mbaya

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Leo katika pita zangu huko kwenye ESS, Daaaah, ni hatari saana. Mabenki yanashindana tu kupandisha riba za mikopo ambayo ni kimbilio la watumishi wavuja Jasho wa nchi hii.

CRDB, NMB, NBC, nk,riba na mikopo yao imekuwa MIKOPO KAUSHA DAMU. Mlio karibu na Rais Samia jaribuni kumstua kuwa hali ni mbaya, BOT chini ya Mwigulu ni blind watchers.
 
Back
Top Bottom