BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma.
Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha usingizi.
Sasa haitakuwa na maana kama anahangaika huko mara USA mara sasa Korea kutafuta pesa na wahuni huku nyuma wanajichotea bila kipimo.
Raisi hayuko Serious na Vita dhidi ya Ufisadi wa mali za Umma, kila kona watu wanajipigia na ni kama vile walishwa tonywa kwamba mwangalizi hana shida.
Anacho kifanya Makonda hata kama ni Zuga hakina maana kwa sababau kwanza pesa zinapigwa mikoa yote na pia wakubwa ni kama haiwahusu kabisa they don't Care.
====
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema baadhi ya viongozi wamekwepa kutoa ufafanuzi wa vyanzo vya mapato waliyonayo na wameshindwa kutaja thamani ya mali walizonazo kwenye fomu ya tamko la mali.
Pia imesema baadhi ya viongozi wameshindwa kujaza taarifa za wenza wao hasa taarifa za fedha zilizoko benki na kukwepa kujaza vipengele muhimu, huku wengine wakipokea zawadi mbalimbali bila kuzitolea matamko.
Hayo yamo kwenye taarifa ya sekretarieti hiyo iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Kamishna wa Sekretarieti hiyo, Sivangilwa Mwangesi, wakati akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari juu ya mafanikio ya sekretarieti.