Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Kabudi tena? Bashungwa mambo ya ndani na palivyo pagumu sasa hivi ataweza kweli? Ngoja tuone
Bashungwa ni nani ameishakuwa waziri kwenye wizara kubwa kubwa TAMISEMI,ULINZI,UJENZI na sasa MAMBO YA NDANI?
 
Labda sijaelewa! Kabla ya huu uteuzi Jerry Slaa alikuwa Wizara ipi?
 
Ni nini Tija ya Hili ?
 
Si Wanasemaga huyo Masauni alikuwaga Kiongozi wa UVCCM ???!
Kama ni kweli, je palikuwa na Conflict of interest ???!
Ngoja Tusubiri tuone !!
Mambo ya Ndani inataka mtu aggressive,Flexible,Mwenye Ushawishi na mbunifu lakini pale pale inataka coordination mzuri kati ya Wizara inayoshughulika na Usalama wa Taifa,Wizara za Ulinzi na Sheria na Katiba.
Usalama wa Taifa utafanya jambo bila Polisi kujua inaleta ukakasi.
 
Kabla ya uteuzi huu, Jerry silaa alikuwa wizara ipi?
Yule anayejiita Dr Jafo ameelekea wapi!
 
Huu uteuzi una tija kwa wananchi au ni kujuana ?
Kijaji ni upstairs Kuna shida ila alikopelekwa ni njia ya kumrudisha Jimboni uteuzi ujao
 
Tanzania ina Wananchi zaidi ya Milioni 50+ ila cha kushangaza katika miaka zaidi ya 60 ya Uhuru, nahisi Koo hazizidi 300 zinazoongoza nchi...ni kitendo cha Wao kurithi(shana) na kubadiri(shana) tu... inachekesha na kuhuzunisha.
 
Ndumbaro, Ndumbaroooo. Wizara ya Katiba na Sheria haijatulia hata lidogo....ingia toka sana....huyo ndumbaro mwwnye karudi hapo zaidi ya mara tatu.....Kuna shida naona hapo wizarani.
 
Damas Ndumbaro anarudi tena Katiba na sheria?
Jenister ilibidi aondolewe kabisa ktk baraza. Khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…