Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Rais Samia leo tarehe 7/12/2024 amepawangua baraza lake mawazi

USSR
 
Huu ni ujinga mwingine, alitakiwa amhamishe mkwe wake aliyelitia taifa aibu kwa kusimamia uchafuzi na wizi wa kura uchaguzi serikali za mitaa
 
Abdallah Ulega na mambo ya Ujenzi wapi na wapi jamani? Kwani lazima Rais ateue watu walewale hata kwenye nafasi wasizozimudu?

Hii katiba kila kunapokucha inazidi kutuletea hasara , Nina amini tuna watu wenye uwezo lakini Katiba mbovu tuliyo nayo haiwezi kuwapa nafasi ya kulitumikia Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…