Rais Samia Suluhu amefika nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania, Mjini Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Abbas Ali Mwinyi.
Abbas alifariki dunia Septemba 25 mwaka huu katika Hospitali ya Lumumba, Unguja alipokuwa akipatiwa matibabu.