Rais Samia ahsante sana, Nikki wa Pili ni uteuzi bora kabisa

Tatizo la Niki ni ujuaji mwingi, kua na degree toka udsm anaona ana akili kuliko watu wote na vijana wote.
Nadhani kila binadamu kapungukiwa mahala na huyu jamaa hapa ndo kapungukiwa.
 
Nawe kumbe unapenda umbea? [emoji23][emoji23][emoji23]
No ameomba kusaidiwa kumtagia warumi nami nimemsaidia tu.
umbea hapana hii kichwa imejaa mapicha picha tu umbea sipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…