Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge ameendelea kuipaisha Tanzania na kuiweka katika kilele cha Ramani ya Dunia kimafanikio.
Kila siku Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa nahodha wetu hodari Mama Samia Inaendelea kufanya vyema na kuiteka Dunia. Inaendelea kuwa mfano wa kuigwa DUNIANI.
Leo tena Tanzania imeteka na kugonga vichwa vya habari Duniani kwote baada ya kushuhudia Rais Samia akiipaisha Tanzania kwa nafasi 46 katika kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari. Ambapo Tanzania imepaa kama ndege vita kutoka nafasi ya 143 hadi nafasi ya 97 Duniani hii ni kwa mujibu wa report ya World press Freedom.
Uhuru huu ndugu zangu watanzania wazalendo na wenye mapenzi Mema na Taifa letu hili lenye kila aina ya utajiri na fursa ,ndio huu mnaoona vyombo vya habari vikiwa huru kutoa na kuchapisha habari mbalimbali bila kikwazo cha aina yoyote ile bila shida wala wasiwasi pasipo kusikia chombo cha habari au magazeti vikifungiwa hivyo hovyo au kulipishwa faini au kuvamiwa na kunyang'anywa vitendea kazi.
Kwa kasi anayokwenda nayo Jemedari wetu ninaona akija kuzoa na kukomba tuzo mbalimbali za kitaifa na kimataifa, kama vile Tuzo ya Nobel na tuzo ya Mo Ibrahim. Tuendelee kumuunga mkono jemedari wetu na shujaa na jasiri muongoza njia. Mama Mwenye huruma na upendo kwa watanzania,mama asiye na makuu wala kinyongo na mtu,mama wa watu, mama wa Taifa, mama mlezi, mama kipenzi cha watanzania na mwenye moyo wa unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu haijapata kutokea hapa Duniani.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.