Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Acha wivu wa mtoto wa kiumeLeo hajaahidi kununua goli Kwa milioni miambili? Maana alisema Hela hakuna lakini zipo za kununua magoli tu
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.
View attachment 3298007
Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia burudani kwa Watanzania wote.
View attachment 3298011
Ameongeza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya juhudi na nidhamu ya timu hiyo, na kuwatakia kila la heri katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano hayo.
View attachment 3298006
Soma, Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
sasa tupo TUMEINGIA NUSU.Hivi ni kufuzu robo ama nusu?
Lile fungu la matumizi yasiyo na tija liongezwe ili 1/2 fainali na fainali goli la mama liwe 20m.Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.
View attachment 3298007
Kupitia salamu zake, Rais Samia amesema ushindi huo si tu kwamba umeleta furaha kwa mashabiki wa Simba, bali pia umechangia burudani kwa Watanzania wote.
View attachment 3298011
Ameongeza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya juhudi na nidhamu ya timu hiyo, na kuwatakia kila la heri katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano hayo.
View attachment 3298006
Soma, Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Hili tapeli sijui nani kalipa hadhi ya u-appostle