Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 Feb 24, 2026 #21 Japo hayanihusu lakini hiyo sio bastola! Hamna bastola yenye caliber ya namna hiyo labda kama inapigia mabomu sio risasi!
Japo hayanihusu lakini hiyo sio bastola! Hamna bastola yenye caliber ya namna hiyo labda kama inapigia mabomu sio risasi!
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,343 Reaction score 5,589 Feb 24, 2026 #22 Otorong'ong'o said: Amekondeana mbayaaa...kwani shida ni nini ..??? Click to expand... Kapime macho mkuu
Otorong'ong'o said: Amekondeana mbayaaa...kwani shida ni nini ..??? Click to expand... Kapime macho mkuu
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,939 Reaction score 3,259 Feb 24, 2026 #23 Otorong'ong'o said: Aisee nimemuangali huyo Bibi kachokaaaaa...Uso hauna nuru.. .kakondaaa..... Yani pamoja na kujijaladia bullet Proof ila kakondeana......Atakufa kwa stress wallah Click to expand... Tff wanampa hofu
Otorong'ong'o said: Aisee nimemuangali huyo Bibi kachokaaaaa...Uso hauna nuru.. .kakondaaa..... Yani pamoja na kujijaladia bullet Proof ila kakondeana......Atakufa kwa stress wallah Click to expand... Tff wanampa hofu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 24, 2026 #24 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw