Rais Samia akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali nyumbani kwao Maisara Zanzibar tarehe 03 April 2025.

ni akina nai hawa
 
Mimi namjua Prof. Idrisa Kikula.
Huyu ni nani!!??
 
Ona mwehu huyu! hii sasa inapunguzaje deni la taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…