Rais Samia akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO nchini Msumbiji, leo Septemba 23, 2022

Rais Samia akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO nchini Msumbiji, leo Septemba 23, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.


 
Kazi njema inayofanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ya kuimarisha diplomasia yetu imezidi kuipaisha na kuiheshimisha nchi yetu na kuvutia wawekezaji na wafanya biashara wakubwa Kuendelea kutafuta fursa za kuwekeza hapa nchini,
 
Back
Top Bottom