Rais Samia akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022.

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mhe. Pauline Gekul amehudhuria katika Mapokezi hayo na kutoa salamu za Jimbo.

Viongozi wengine waliohudhuria ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Fredrick Sumaye, Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere na Baadhi ya Mawaziri.

Wasanii mbalimbali akiwemo Sholo Mwamba na wengine wametoa burudani kwa Wananchi waliojitokeza kumpokea Mhe. Samia Suluhu Hassan.



 
Watakwambia eti Rais Samia Hana popularity 😆😆
 
Sasa Shola mwamba wanini? Mbona waTz tunadanganyika kijing? Sijawahi kuskia nchi zilizoendelea kiongozi wa nchi anazurura na wasanii kwenye mikutano yakiutendaji!!
Vijana wanataka ajira, viwanda, kilimo chauhakika chaumwagiliaji, elimu bora nk. Sio kusikiliza nyimbo zaujinga za vijana wavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…