Rais Samia akwamua Ujenzi wa Mradi wa bwawa la Maji Kidunda Uliokwama Kwa Miaka 50

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mama hajawahi kuwa na jambo dogo.

Amehamisha familia 1000 hapo na kuwalipa fidia kupisha ujenzi wa bwawa kubwa la Maji la Kidunda ambalo Kwa miaka na miaka lilikuwa stori za mdomoni.

Zaidi ya Bilioni 360 zimewekwa kwenye mradi wa bwawa la Kidunda tayari kuhakikisha usalama wa Maji Dar,Pwani na kuzalissha umeme na Kilimo Cha umwagiliaji.

Hongera Rais Samia mkali wa maamuzi magumu na kutafuna mifupa iliyowashinda wengi.

Kazi iendelee 👇

View: https://youtu.be/a8yAKlO6gW0?si=UO68OC-twYdIMgpW
 
View: https://www.instagram.com/p/DFw_LKytuUh/?igsh=MWd2eXBvaXFobmRqOA==
 
Back
Top Bottom