ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais ni kielelezo na Kioo Cha Tiafa na ndio Mbeba maono.unavyompamba utafikiri amezitoa mfukoni mwake, hizo ni hela zenu, kodi zenu huyo ni mwajiriwa wenu tu.
Mama hajawahi kuwa na jambo dogo.
Amehamisha familia 1000 hapo na kuwalipa fidia kupisha ujenzi wa bwawa kubwa la Maji la Kidunda ambalo Kwa miaka na miaka lilikuwa stori za mdomoni.
Zaidi ya Bilioni 360 zimewekwa kwenye mradi wa bwawa la Kidunda tayari kuhakikisha usalama wa Maji Dar,Pwani na kuzalissha umeme na Kilimo Cha umwagiliaji.
Hongera Rais Samia mkali wa maamuzi magumu na kutafuna mifupa iliyowashinda wengi.
Kazi iendelee π
View: https://youtu.be/a8yAKlO6gW0?si=UO68OC-twYdIMgpW
Kidunda ni wapi?Zaidi ya Bilioni 360 zimewekwa kwenye mradi wa bwawa la Kidunda tayari kuhakikisha usalama wa Maji Dar,Pwani na kuzalissha umeme na Kilimo Cha umwagiliaji.
Asante Mkuu