Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue
Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?
Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!

Video Jakaya akigusia kuhusu kuzingatia sheria na kuuliza wanasheria kama wanachokifanya kipo sawa
Kuna uwezekano akatokea mwamba akachallenge maamuzi hayo kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015?
Hiki chama sasa kinaongozwa na hisia na maamuzi ya wenye nguvu badala ya kanuni na katiba. Yaani hamjataka hata kujua kama kuna watiania wengine nyie mmeshafunga tayari mchakato?
Kama mgombea pendwa mnaye, mnahofu gani kuruhusu mchakato?
Wazee hawataki tena akili mpya, walitakalo wanataka liwe
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao.
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde maarufu, Kibajaji akiwasilisha hoja ya kumtaka Samia na Mwinyi watoke ili wajumbe waamue
Yeye kuwa pale wakati anapigiwa kura ina maana ataona wote wanaomkubali na kumkataa ili baadaye alipize kisasi. Kwa mazingira hayo watu wakapiga unafki tu kukubali wote isipokuwa wachache kama Mpina walishindwa kabisa kujizuia hisia zao!
Kwa hicho kilichotokea ina maana Samia anatumia ushawishi wa watu fulani kufosi kuwa mgombea urais wakati wengi hawamtaki?
Kama mnakumbuka kulikuwa na kusita sita kumpitisha kutoka kwa Jakaya akiwataka wajumbe kufikiria kuhusu sheria na katiba yao inavyosema, lakini ikabrashiwa shwa shwaa kama haijasikika watu wakapishwa!
π acha tu, huku Ufukweni leo nilipata muda wa kutafakari sana kilichoendelea Idodomyaaa nikajikuta na maswali yasiyo na majibu ndio maana nikaja na kauzi haka tujadiliane pamoja wanafamilia