Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 9, 2025 amechukua fomu ya kuwania muhula wa pili wa Urais katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC) akiwa ameongozana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambao wanajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Wa pili upi? Kwani wa kwanza ulikua upi? Yeye si alidandia Treni ya Magufuli?kuwania muhula wa pili wa Urais katika ofisi
Magufuli aliongoza miezi mitano tu ya muhula wake wa pili akaaga dunia, Samia ameongoza muhula mzima wa JPM na sasa anamalizia muhula wake wa pili.Wa pili upi? Kwani wa kwanza ulikua upi? Yeye si alidandia Treni ya Magufuli?
Nyumbu,ukisusa wenzako wanakula
Nyumbu,ukisusa wenzako wanakula