kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Raisi Samia aliposema huko ndani kwao kunawaka moto hakukaliki kuna zogo Watu walibisha walijua ni ndani ya CHADEMA pekee ndio kunakowaka moto kumbe ni upinzani wote, ushahidi ni kama mlivyomsikia Wakili Mwabukusi, hali kadhalika Mbowe inaonesha upinzani umeshasambaratika hizo kelele zao ni ile hatua ya mwisho ya roho kuuwacha mwili kiarabu wanasema sakratul mauti ni wakati wa kurusha miguu na mayowe kila mmoja ana nena lugha yake!