kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Moto mkubwa upo CCM, muda utaongeaRaisi Samia aliposema huko ndani kwao kunawaka moto hakukaliki kuna zogo Watu walibisha walijua ni ndani ya CHADEMA pekee ndio kunakowaka moto kumbe ni upinzani wote, ushahidi ni kama mlivyomsikia Wakili Mwabukusi, hali kadhalika Mbowe inaonesha upinzani umeshasambaratika hizo kelele zao ni ile hatua ya mwisho ya roho kuuwacha mwili kiarabu wanasema sakratul mauti ni wakati wa kurusha miguu na mayowe kila mmoja ana nena lugha yake!
View attachment 2771226
Moto ulikuwa uchaguzi wa 95 ccm ikapita salama,moto ukawaka 2005 ccm ikaimarika 2015 mpaka lowassa akaenda chadema na kina kingunge ccm ikawa juuu juuu zaidi kwa hapa palipobaki upinzani unarudii nyuma kwa spidi ya kimondo!Moto mkubwa upo CCM, muda utaongea
Rudi ukasikilize hotuba ya mbowe kwa baraza la wazee ndio utagundua kwa undani zaidi!Kama huo ndio moto aliousema Samia basi chawa mnampotosha mkiti wenu.
[emoji1787][emoji2956][emoji2956]Raisi Samia aliposema huko ndani kwao kunawaka moto hakukaliki kuna zogo Watu walibisha walijua ni ndani ya CHADEMA pekee ndio kunakowaka moto kumbe ni upinzani wote, ushahidi ni kama mlivyomsikia Wakili Mwabukusi, hali kadhalika Mbowe inaonesha upinzani umeshasambaratika hizo kelele zao ni ile hatua ya mwisho ya roho kuuwacha mwili kiarabu wanasema sakratul mauti ni wakati wa kurusha miguu na mayowe kila mmoja ana nena lugha yake!
View attachment 2771226
Miaka yote iko hivyo...Moto mkubwa upo CCM, muda utaongea
Enheeeee[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji109]Moto ulikuwa uchaguzi wa 95 ccm ikapita salama,moto ukawaka 2005 ccm ikaimarika 2015 mpaka lowassa akaenda chadema na kina kingunge ccm ikawa juuu juuu zaidi kwa hapa palipobaki upinzani unarudii nyuma kwa spidi ya kimondo!
[emoji2956]Rudi ukasikilize hotuba ya mbowe kwa baraza la wazee ndio utagundua kwa undani zaidi!
Tupe samary ya alichokisemaRudi ukasikilize hotuba ya mbowe kwa baraza la wazee ndio utagundua kwa undani zaidi!
Watakubali tu!Enheeeee[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji109]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ccm ipo mpaka shinani chadema ipo taifa ni ndoto miaka mia kuitoa ccm madarakani kwa watu kudai katiba mpya na tume huru kwa kujificha kwa id fake mitandaoni full stop!Tupe samary ya alichokisema
NI kweli yametokea!Raisi Samia aliposema huko ndani kwao kunawaka moto hakukaliki kuna zogo Watu walibisha walijua ni ndani ya CHADEMA pekee ndio kunakowaka moto kumbe ni upinzani wote, ushahidi ni kama mlivyomsikia Wakili Mwabukusi, hali kadhalika Mbowe inaonesha upinzani umeshasambaratika hizo kelele zao ni ile hatua ya mwisho ya roho kuuwacha mwili kiarabu wanasema sakratul mauti ni wakati wa kurusha miguu na mayowe kila mmoja ana nena lugha yake!
View attachment 2771226