Rais Samia alisisitiza kuhusu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo lakini inafanyika kinyume chake

Rais Samia alisisitiza kuhusu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo lakini inafanyika kinyume chake

Attack

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
894
Reaction score
1,608
Aanze na wanaoingiza containers Kwa kulipa less pale port Ili hesabu ziende sawa kuanzia juu Hadi huku chini.
 
Suluhisho hili hapa 👇

Tusipofanya hili kila siku tutalalamika humu hadi kiama!
 
Aanze na wanaoingiza containers Kwa kulipa less pale port Ili hesabu ziende sawa kuanzia juu Hadi huku chini.
Hicho unachosema ni sahihi, lakini sisi raia Kodi zetu kumbe hazifiki serikalini....
 
Hicho unachosema ni sahihi, lakini sisi raia Kodi zetu kumbe hazifiki serikalini....
Zingekuwa hazifiki, wangekosa nauli ya kufanya safari za nje Kila uchwao,

Zingekuwa hazifiki, wasingeweza kulipa mishahara na kujiongezea posho!!

Ikiwa hazifiki, wizi unaoripotiwa na CAG usingeripotiwa.

Pesa zinafika, ila matumizi ndio mabaya, yanaenda kwenye anasa kuliko kukuza mtaji Ili kupata faida.
 
Back
Top Bottom