Hicho unachosema ni sahihi, lakini sisi raia Kodi zetu kumbe hazifiki serikalini....Aanze na wanaoingiza containers Kwa kulipa less pale port Ili hesabu ziende sawa kuanzia juu Hadi huku chini.
Mhuuuuuuuu.....Lipeni kodi...V8 yangu inahitaji service
Zingekuwa hazifiki, wangekosa nauli ya kufanya safari za nje Kila uchwao,Hicho unachosema ni sahihi, lakini sisi raia Kodi zetu kumbe hazifiki serikalini....