Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi.
Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya siasa for almost 5 years na baadhi walikimbia nchi. Mama akawafata huko huko na kuwarudisha.
Sasa malipo yake ikawa kumtukana kila wapatapo jukwaa as if alifanya kosa kuwarudisha na kuwafungulia siasa japo ni katiba lakini mbona Hayati Magufuli aliwafungia na wakabaki hohehale na kutukana hawawezi mana wangeuawa.
Sasa wananchi wakawaona hawana maama. Kama.wangekuwa na busara wangekuwa wanaongea siasa zao siyo kuwinda matukio na kutukana tena matusi ya nguoni.
Mpaka wakaamua kumtumia mange kimambi kumtukana mama mara oo eti ni msagaji mara ooo sijui nin.
Upinzani wamejiua wenyewe kwa mikono yao. Watanzania siyo wajinga kabisa wameamua kuwasusa