Hivi Mh. Rais anamfahamu Njalu mbunge wa huko simiyu? huyu bwana anafukuza hadi watumishi wa serkali ukiingilia mambo yake yaani atafukuzwa kama mbwa na hakuna wa kukusaidia tena DED, DAS, hadi RAS watakufurusha kama mwivi kwa amri ya huyu mwamba na hilo lishatokea unaenda fia kwenu.