kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko.
Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop.
Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti jambo hili la kuachiwa Mbowe kwa namna hii lisingewezekana.
Ndugu zangu Tanzania imepata kiongozi ambae alikuja kwa upepo wa kisulisuli kutoka kusikojulikana tufunge na kuomba awepo hadi 2030, Tanzania itakwenda kupona maradhi yake yote, kama Yale demokrasia, tume huru, Katiba, kuondoa vikwazo vyote kati ya Bara na Zanzibar. Bara na Zanzibar wataaminiana kwelikweli kuliko ilivyowahi kuwa huko nyuma.
Kiuchumi tutapiga hatua kubwa sana mpaka tutashindwa kuyaamini macho, masikio na pua zetu.