Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amemteua Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango. Ambapo lengo la Tume hii ni kusimamia Uchumi, Mchakato wa upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Taifa .
Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue amewahi pia kushikilia nafasi ya ukatibu Mkuu kiongozi wa Taifa letu katika serikali ya Awamu ya Nne chini ya uongozi wa Rais Daktari Jakaya Mrisho Kikwete.
Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa na wala sina nyongeza ya maneno.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu.