RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu.
Ikumbukwe kwamba pamoja na mambo mengine kuna baadhi ya mikoa kama Kagera, Arusha, Iringa, Kigoma n.k. kipindi kama hiki mvua hunyesha wakati wote na wakulima tayari wanakuwa wameshaandaa mashamba yao na kupanda mazao wanayoona yanafaaa lakini kwa sasa kilichopo jua ni kali utafikiri tupo mwe Juni na Julai.
Tatizo la njaa litakuwa kubwa hata nishati na maji itakuwa shida kubwa zaidi. Tayari yeye mwenyewe alianza kulalamika kuwa wananchi wabishi wamezuia maji kwenye vyanzo vya mito badala ya kuchukua hatua sitahiki kwa watu hao.
Mheshimiwa Rais ingawa wewe huleti mvua basi baadhi ya changamoto nyingine fuatilia ujionee mwenyewe zaidi ya hapo unaanda bomu kubwa kwa wananchi njaa ikizidi wananchi hawatakuelewa jiandae kwa maandamano!
Pamoja na hivo zipo taarifa na za kuaminika unataka kurudisha elimu ya malipo shule ya msingi na sekondari haya yote yafanye lakini kwa ushauri wangu washauri wako kuwa nao makini zaidi ya hapo wanakutumbukiza shimoni bila wewe kujua.
Mimi nimesema hayo wengine watakwambia mijadala kwa sasa ni mikubwa na mijadala hiyo inatija kubwa ingawa wewe unaipuuza.