yeah, that will happen soon! majini ni mabaya sana! ni masheitwani atiiiiiNakumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa anawatukana mapadre kwa kuungamkono chanjo na kuongea nao kwa dharau na kejeli. Kumbe wenzake wanaongea na Mungu ! Hiyo hiyo covid ndiyo ilichangia kumuondoa . Sasa Mama Samia yeye anajificha nyuma ya hawa watekaji. Pilisi wanadiriki kupiga mpaka waumini wanao funga kuombea nchi sasa yakimpata msije kutuletea huruma maana kuna mizimu inaelekea bado ipo Ilkulu
yameshampoteza mama wa watu, yeye na kizazi chake watajuta.Yale majini ya Bakwata yameanza kufanya kazi bila shaka.