sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nakukumbusba tu Kina Maria Nyeree bado wapo, mke wa Mkapa bado yupo, Janeth Magufuli bado yupo.Hiyo pumzi atakuwa nayo ya kuongoza maCCM?
Hao unaowataja wanapambana na figisu za maCCM kama huyu mama!Nakukumbusba tu Kina Maria Nyeree bado wapo, mke wa Mkapa bado yupo, Janeth Magufuli bado yupo.
Hahahaha! Umeongea point Chief! Kuongoza haya majingalao yahitaji pumzi kubwa sanaHiyo pumzi atakuwa nayo ya kuongoza maCCM?
Hii ni awamu ya tano au ya sita?Unatakiwa kusoma katiba upya. Lakini pia akitaka kumaliza miaka kidogo mbele anatakiwa kuwatii wakubwa zake mwanzo mwisho siku akienda tofauti utarudi hapa na uzi fofauti.
Katiba haina kitu kinaitwa "awamu", ni kwa mazoweza tu kuwa awamu ni serikali inayochaguliwa baada ya uchaguzi chini ya manifesto fulani; awamu inaendana na philosophy iliyoahidiwa kwa wananchi wakati wa uchaguzi.Kasome katiba vizuri
Mbowe hajawi kuzuiwa kugombania urais TzMapuuzi ya CCM yalipoona Mbowe ni tishio yakaweka kigezo cha degree ili kumdhibiti huku yakijua hakuna kigezo kama hicho kwenye katiba, kwa hiyo msitegemee sana katiba inasema nini, mafia chama cha wahuni wa CCM kitaamua nani awe mgombea wao kwa vigezo vyao vya kipuuzi visivyofuata sheria
Boss inaonekana hufuatilii siasa za Tanzania, unajua kwanini Mbowe alienda England kusoma?Mbowe hajawi kuzuiwa kugombania urais Tz
Ok labda hii ilinipita, ila najua Kuna wengi wamegombea bila ya kuwa na degreeBoss inaonekana hufuatilii siasa za Tanzania, unajua kwanini Mbowe alienda England kusoma?
Mungu hadhihakiwi kamweMama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu...
Tanzania + Zanzibar = Tanzania.Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu...
Katiba kama kikwazo ndugai ataiangalia, mbona jiwe walikusudia wamwongezee atake asitake!Dogo umesoma katiba vizuri ? Au umekurupuka tu huko na kuja kutuandikia maupuuzi yako ?
Akigombea na kushinda mwisho wake 2030. Kasome katiba