Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

Elimu ya hapa n pale. Mbele ya wasomi wa kweli. Na sio machawa. Itakua ni Aibu kwa watanganyika na sio zanzibar.
Kazi ni kipimo cha utu
 
sijawahi kusikia ujinga kama huu
 
UMEANDIKA UGORO MTUPU
 

Tukubali watu wanao alikwa ni wale wenye vipaji kama Lissu au Lumumba. Hawawezi kumualika mtu ambaye anaogopa mpaka wagombea wa ACT wazalendo. Tatizo nyie Akili ndogo mnaenda na ndoto za kijinga jinga tu. Huyo Mama yuko busy kutafuta Mume mwingine sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…