MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Mkuu wangu wa nchi,
Humu JF miaka ya nyuma tulikuwa tunapata "nyepesinyepesi" jinsi fedha za uchaguzi mkuu zilivyokuwa zinatafutwa. Hizo fedha baadae huwapa watu jeuri na kusumbua wakipigania madaraka.
Sasa uchaguzi wa 2025 imebakia miaka 2 na ushee tu na tukiweka na miezi ya kuanza harakati na kampeni siku zinazidi kupungua. Kwasasa kama ilivyo mazoea huko nyuma yumkini chini kwa chini watu wanakusanya nguvu za kiuchumi kuelekea huko.
Mkuu wangu weka udhibiti wa fedha ndani na zile za kutoka nje kabla hujajikuta unasumbuliwa na watu hata usiotarajia. Nguvu ya uchumi ndio nguvu ya ushawishi! Usiruhusu na tena kwa ukali hizi janja janja za upigaji ambazo zinaweza kusumbua kwenye uchaguzi.
Fedha za uchaguzi, focus ya uchaguzi na kujipanga kushinda kiti inawezekana ndio top priority kwa waandamizi wengi kuliko unavyofikiria. Chukua hatua sasa, usisubiri wawe na nguvu wakusumbue.
Nakuombea heri utuvushe salama, sio kwa kutaka kuwa mzuri kwa kila kundi bali kwa maslahi ya Taifa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app