Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
Rafiki yao, huyo nae alikuja wakati wa sherehe za kuapishwa mwendazake, huku Bobi Wine nyumba yake imezungukwa na maaskari toka jana asubuhi, kweli ndege wafananao huruka pamoja.
Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.
Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India
Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.