Rais Samia asante kwa kuruhusu akaunti kibao za taasisi, kampuni na watu binafsi waliotuhumiwa kutakatisha pesa kufunguliwa

Rais Samia asante kwa kuruhusu akaunti kibao za taasisi, kampuni na watu binafsi waliotuhumiwa kutakatisha pesa kufunguliwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Mimi nilipiga kelele mno kipindi cha Hayati Magufuli akiwepo kuwa kitengo cha Financial Unit Intelligence yaani FIU kinaonea Watanzania sana kufunga akaunti zao kwa pesa toka nje na hatua zao zitaua mabenki kwa kuhoji mtu anayeweka pesa benki pesa nyingi ajieleze katoa wapi. Nilipinga hicho kitu Magufuli akiwa hai humu JamiiForums

Rais Samia aliposhika tu madaraka akamtoa kamishina aliyekuwepo na kuweka mwingine mambo yako vizuri sana ukienda benki hata na bilioni husumbuliwi kuweka

Rais Samia asante kwa kuruhusu akaunti kibao za taasisi, kampuni na watu binasfsi tuhumiwa kuwa watakatisha pesa haramu

Mama Samia Asante sababu mipesa mingi ilitoka NGO za nje na watu binafsi kujenga mfano Misikiti,Makanisa, Shule, Vyuo,nk Sasa hivi baada ya akaunti kufunguliwa kazi inaendelea
 
Magufuli used to make poor decision not only when he was President but also when he was Minister,I just wonder how he managed to be President of URT.
 
Back
Top Bottom