S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Jun 23, 2021 #1 Kuna kila sababu ya mheshimiwa rais wa JMT ashauriwe avunje bunge kwa maslahi mapana ya Taifa. Kuna sababu kuntu mojawapo ni hizi: 1. Wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wanadai mishahara yao iongezwe ili hali wakijua uchumi wa nchi ni tete: Deni la taifa liko juu Miradi ya nchi ni mikubwa fedha hamna Vijana wanalia mitaani hawana ajira Wakulima hawana ruzuku za kilimo ili wazalishe kwa tija Watoto wanakaa chini baadhi ya shule na pia mazingira ya shule zetu si rafiki Bora bunge livunjwe au itokee namna yoyote ili tusiwe na wabunge wachumia tumbo kama hawa. NB: Hili ni bunge au halmashauri ya chama?
Kuna kila sababu ya mheshimiwa rais wa JMT ashauriwe avunje bunge kwa maslahi mapana ya Taifa. Kuna sababu kuntu mojawapo ni hizi: 1. Wabunge, ambao ni wawakilishi wa wananchi wanadai mishahara yao iongezwe ili hali wakijua uchumi wa nchi ni tete: Deni la taifa liko juu Miradi ya nchi ni mikubwa fedha hamna Vijana wanalia mitaani hawana ajira Wakulima hawana ruzuku za kilimo ili wazalishe kwa tija Watoto wanakaa chini baadhi ya shule na pia mazingira ya shule zetu si rafiki Bora bunge livunjwe au itokee namna yoyote ili tusiwe na wabunge wachumia tumbo kama hawa. NB: Hili ni bunge au halmashauri ya chama?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 23, 2021 #2 Enzi za dikteta wasingedai hiyo mishahara
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Jun 23, 2021 #3 Rais CCM,Bunge nila CCM ,rais toka CCM avunje bunge la CCM
I Iboya2021 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2020 Posts 1,616 Reaction score 1,481 Jun 23, 2021 #4 ukivuta bange bila kula matatizo yake ndiyo hayoyakuja kuharisha kwenye jukwaa
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Jun 23, 2021 #5 Rais ana tofauti na hao?
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jun 23, 2021 #6 What's in it for her? Kwenye dunia ya looking after Numero Uno, such a thing as you are proposing is impossible.
What's in it for her? Kwenye dunia ya looking after Numero Uno, such a thing as you are proposing is impossible.
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 12,620 Reaction score 12,109 Jun 23, 2021 #7 Babati said: Enzi za dikteta wasingedai hiyo mishahara Click to expand... Kumbe! He was good then.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 23, 2021 #8 Kuna bunge au pango la wanyang'anyi?
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Jun 23, 2021 #9 Wabunge wenyewe wameingia kwa hisani za mwendazake, wangekuwa wamechaguliwa kwenye uchaguzi halali mbona pasingekalika hapa.
Wabunge wenyewe wameingia kwa hisani za mwendazake, wangekuwa wamechaguliwa kwenye uchaguzi halali mbona pasingekalika hapa.
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,731 Jun 23, 2021 #10 Wabunge wako pale mjengoni kwa ajili yao na familia zao sio kwa ajili yetu sisi akina kajamba nani.
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Jun 23, 2021 #11 Mimi naona auchune tu, kwani Kuna aliyelazimishwa kugombea ubunge? Zipo kazi nyingi za kufanya.