Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wajukuu wa taifa namuona hapo mtoto mjukuu wa tundu lissu na Mbowe wanakula nchi!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
Hapa kila kitoto kimeshaandaliwa maisha tayari. Wakati huo huo watoto wa mamilioni ya Watanzania masikini kama Lucas Mwashambwa, hata hawaijui kesho yao itakuwaje!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.