Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye sala ya Eid El Fitr kwenye msikiti wa Bakwata uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Samia ni mpenda Ibada na amewatakia heri ya Eid watanzania wote.
Haya sasa ndio matumizi yasiyo na tija ya aliyosema CAG kwenye ile ripoti. Ikifika jioni CAG akikagua matumizi hapo atakuta deni la mama la Trillion 97.35 limekuwa kwa asilimia 7.04% ndani ya saa 12