Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Kumbe kusifu kote huko bado pangu pakavu. Nilikua na ww unalamba asaliNgoja wanaJF tuchangamkie tukatupie CV zetu , labda safari hii serikali itaangalia nje ya box.
Ikibinafsishwa ndio inakufa kabisa. Rejea kilichowahi kutokea kwenye Reli, Shirika la ndege na viwandaBinafsisha hizi BANDARI, naona zinatupa shida kubwa kuziendesha au recruits freshers kutoka University, peleka wachache pale Durban, Capetown, Rotterdam, Botswana (dry port)wakajifunze kwa 24mth kuhusu uendeshaji wa hizi bandari, na ajira mpya zifanyike yaani we need to start upya
Haya ya kuteua,kutumbua,ndio ccm wanajua!hakuna jipya,Halina tija kwa nchi maana wote watafanya kazi chini ya mfumo,
Na akatuaminisha kuwa ni mchapakazi tofauti na aliyemkuta.Uzuri alimteua mwenyewe