Bandari haina ukipekee wa aina yake.Hao wanaokula huko kwenye bandari, madini,n hifadhi kama ngorongoro ndio wanaohakikisha Tanzanua hatupati viongozi tunaowataka bali wanaowataka wao.
Hizo safu za viongozi na management kama hizo za TPA ni watu hatari sana. Hawapo hapo kibahati mbaya.
Umechangia bila kujua kinachoendelea. Amesema bandari kuna tatizo kubwa na sasa hivi kumekua hovyo kwa watu kuzungushwa na kuchukua muda mrefu kazi kufanyika. Baada ya hapo utenguzi ukafatia. Sasa hapo unashindwa kujua kuwa ameondolewa sababu ya utendaji wake kuwa mbovuKwani Mama kasema Eric ana tatizo au ameamua kumbadilisha tu na huenda anataka kumpangia kazi nyingine.
Binafsisha hizi BANDARI, naona zinatupa shida kubwa kuziendesha au recruits freshers kutoka University, peleka wachache pale Durban, Capetown, Rotterdam, Botswana (dry port)wakajifunze kwa 24mth kuhusu uendeshaji wa hizi bandari, na ajira mpya zifanyike yaani we need to start upya
Kagame aliwahi janya utani kuwa anaomba miezi mitatu tuu kuiendesha na uone maajabu....ulikuwa utani enzi za Mzee wetu Magufuli (rip) ila ulikuwa mi maono ambayo sasa Mteule awe na new vision na kujua mianya iko wapi na kukwamua sasa..
Ubelgiji ikaamua kutumia maeneo hayo iliyoyakalia ndani ya Ujerumani ya Afrika Mashariki baadaye ikapewa jina Tanganyika baada ya kuwafurusha waJerumani katika vita ya kwanza ya dunia upande huu wa Afrika ya Mashariki 1914 -1918, kama sehemu ya mtaji wao ktk mazungumzo kufungulia njia ya kufikia pwani ya bahari ya Hindi kupitia reli ya kati hadi bandari ya Dar es Salaam.Tabora, German East Africa
Belgian Congo and the Tabora Offensive (1916)
The Tabora Offensive was an Anglo-Belgian offensive into German East Africa, which ended with the Battle of Tabora in the north-west of German East Africa, it was part of the East African Campaign in World War I.
Source: Belgian Congo
Belgo-Congolese troops of the Force Publique after the Battle of Tabora, 19 September
The Belbases: a little-known achievement of Belgian expansion in East Africa Author: Darcis, Leon Year: 2007 Periodically: Bulletin of the sessions = Mededelingen der zittingen Volume: 53 Issue: 2 Pages: 131-146 Language: French Geographic terms: TanzaniaBelgium
_Subjects: ports
colonial historyAbstract: The 'Belbase' (Belgian base) concept originated in 1914-1918, during the extension of the European war to the German overseas possessions. In East Africa, the Germans occupied Tanganyika, Urundi (Burundi) and Ruanda (Rwanda). Their 'liberation' by the allied powers, including Belgium, resulted in the Treaty of Versailles in 1919. The former German territories were initially entrusted unilaterally to Great Britain. Belgium had, however, 'liberated' Ruanda, Urundi and part of Tanganyika as far as Tabora. She claimed her due. The mandates of Ruanda and Urundi were entrusted to him. In addition, it obtained transit facilities for its goods through the ports of Tanganyika. Matadi, on the Atlantic coast, does not was more thus the only maritime port of Congo: with the birth of Belbase, an autonomous maritime frontage on the Indian Ocean was offered to him. This article examines the birth of the Belbase concept; the creation of the Belbase Company; modernization of Belbase facilities; and the consequences of the independence of territories managed by foreign powers. Bibliogr. [Abstract from the journal, adapted : Source : AfricaBib | Les Belbase: une réalisation peu connue de l'expansion belge en Afrique de l'Est
Tz ilipofikia sasa , kila wanayefikiria, kumteua atataka kula tu...ishakuwa ugonjwa kwa watz wengi, sasa kilichobaki ili angalau tuambulie kitu kwenye mashirika yetu, ni kuondoa siasa kwenye mambo haya ya msingi, na ku' outsource' shughuli hizo, kwa kutumia PPP .........hakuna jinsi.....Wanajeshi ndio hawataki Kula au!?
| January 1, 1966, the income from the sites remained with AMI (EA) in Dar es Salaam, pending the instructions of the different countries (Congo, Burundi, Rwanda and Tanzania) on the distribution of income. These sums were not deposited in an interest-bearing account; they were "at the immediate disposal of the beneficiaries". Due to the high inflation of the Tanzanian shilling between 1970 and 1994 (an average of almost 25% per year), large amounts simply "evaporated" over the years. |
| Article 8 states: AMI(T) may request THA to carry out maintenance of the cranes on site |
| Throughout the period maintenance was reactive/curative, no proactive maintenance schedule was ever put in place. In October 1994, the THA announced that the cranes at the site in Dar es Salaam could no longer be repaired. Worn equipment (from the Ministry of Transport but also AMI's own) was very difficult to maintain due to its advanced age, the unsuitable surface on which they operated and the carelessness of most drivers. The absence of an investment plan since the nationalization in 1971 has left the sites with a totally amortized and obsolete fleet of equipment. The Ministry of Transport, as owner, has not renewed its operational equipment due to lack of financial means. AMI(T) had to acquire its own handling equipment to make up for the shortage, but this had a major impact on operating results. |
| Article 15 states: THA provides AMI with all the pallets necessary for its handling, provided that AMI delivers 1250 pallets / quarter to THA |
| This is a minor point in all historical context, but with the traffic losses in the 1990s, having to deliver 5,000 pallets to THA represented a significant annual cost of USD 150,000 for the concession. In 1994, the traffic of goods had dropped so much, with 30,000 T of imports and 20,000 T of freight exported by the Dar es Salaam site. These costs now amounted to a surcharge of USD 3/ton, which was enormous, diverting even more traffic via road transport (non-concession) or via the port of Mombasa. This accelerated the end of the concession |
Kweli kabisa yaaniBandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Hivi wakipelekwaga huko wanafungwaga auEric Hamissi,ndiye aliyeiuaTanzania Investment bank ( TIB) , mkaja kumpa Kuwa mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) . What do you expect? Apelekwe kisutu mahskamani haraka.
Wale ndiyo sahv bandari ishakuwaHUYU DG KAFANYA KAZI SANA KWA MDA MFUPI LAKINI FITINA ZA WAARADU WA SILENT INN NDO ZIMEMUONDOA
Hao watatumia miguvu tu hao. Akili hawana.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Reli na atc zilishindwa sababu walipewa wasio na sifa na uzoefu.Ikibinafsishwa ndio inakufa kabisa. Rejea kilichowahi kutokea kwenye Reli, Shirika la ndege na viwanda
Bagamoyo, Ahsante sana kwa hii historia, nadhani wengi wa umri wetu, tunajua au kufahamu tu kuwa Rwanda na Burundi zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika, lakini hatukuwahi kuona ramani hasa ya hiyo Dutch ostafrica,MIRADI MIKUBWA YA SGR RELI MPYA, BANDARI ZA KIGOMA NA DSM ZIONDOKANE NA 'CHOYO'
Paul Kagame anaelewa alichoongea kwa undani hasa ukirejea makubaliano baina ya wakoloni wa ki-Belgiji na wale wa Kiingereza.
Wakoloni hawa wa Belge na shujaa wao gènèral Tombeur wa vita ya (Bataille de) Tabora, baada ya kushirikiana na Uingereza vita kuu 1914 -1918 kumshinda Mjerumani huku majeshi ya ki- Belgiji yakiwa yameweka makao yao makuu mjini Tabora hii ya sasa Tanzania wakati ule German East Afrika ilibidi mabwana wakubwa hawa wa ulaya wasaini mkataba.
View attachment 2281414
Ubelgiji ilitaka kuendelea kukalia maeneo ya Tabora, Urambo, Kigoma, Biharamulo waBelge walifika na majeshi yao mpaka jimbo la Morogoro kilometa 200 toka bandari ya DSM lakini ikajiimarisha zaidi magharibi makao yakiwa Tabora na mtaji huu ukawa kama sehemu ya koloni lake ikimujuisha pamoja na nchi za Urundi-Ruanda, Free Congo ya mfalme Leopold. Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique
Ubelgiji ikaamua kutumia maeneo hayo iliyoyakalia ndani ya Ujerumani ya Afrika Mashariki baadaye ikapewa jina Tanganyika baada ya kuwafurusha waJerumani katika vita ya kwanza ya dunia upande huu wa Afrika ya Mashariki 1914 -1918, kama sehemu ya mtaji wao ktk mazungumzo kufungulia njia ya kufikia pwani ya bahari ya Hindi kupitia reli ya kati hadi bandari ya Dar es Salaam.
Hivyo wakakubaliana na Waingereza kuwa iwapo Ubelgiji itaondoa majeshi yake toka Tabora, Urambo, Uvinza n.k basi makoloni ya Ubelgiji ya Burundi, Rwanda na lile kubwa la Free Congo (DR Congo) upande wa mashariki watapewa hadhi maalum ya kutumia reli ya kati toka Kigoma mpaka Dar es Salaam bila usumbufu wowote. Ubelgiji itachangia uimarishaji wa gati ktk bandari za Kigoma na DSM ambazo hazitatozwa ushuru wowote na kurahishisha biashara baina ya makoloni ya Ubelgiji pande hii ya Maziwa Makuu na dunia kupitia bahari.Historia ya Sajenti Mbavu Moya katika Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI)
Nyarugusu, Tanzania Source : Tanganyika TV VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA April 14, 2020 SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...www.jamiiforums.com
Gati hizi zilijulikana kama BelBases na kampuni maarufu ya Belgium ya AMI ilipewa haki miliki za kufanya jambo hilo la eneo huru la kusafirisha na kuingiza bidhaa toka ngambo au kuuza ngambo kupitia reli ya kati na bandari za Kigoma na DSM ktk gati exclusive kwa matumizi ya waBelgiji.
Hivyo mh. Rais Paul Kagame anashangaa kwanza Tanzania ilivyo na geopolitical power kibiashara kuto copy aina ya uendeshaji na uwekezaji wa walivyofanya waBelgiji /Waingereza kupitia BelBases AMI kwa kushirikisha nchi jirani wawekeze ktk reli ya SGR reli mpya DSM - Kigoma-Burundi-Rwanda na DR Congo. Kwa kuwashirikisha wawekeze basi nchi hizo zingetumia bandari ya Dar es Salaam na mifumo ya reli nchini kwani Rwanda, Burundi na DR Congo wangekuwa wadau wa maendeleo na wangeachana kupitisha mizigo Uganda, Kenya hadi bandari ya Mombasa kwa kuwa wangekuwa wajinga waache kutumia uwekezaji wao wawafaidishe wengine, huku kubwa ni kuwa mkataba wa ulioanzisha BelBases ulionesha mafanikio makubwa.
Mkataba ulioanzisha BelBases barani Afrika ulikuwa wa kuheshimika kama mikataba ya bahari nyeusi kule Turkey Bosphorus Strait (the Montreux convention) Implementation of the Montreux Convention / Rep. of Turkey Ministry of Foreign Affairs ambapo meli nyingi zinatumia kwa uhakika huku kuna kuaminika kimataifa.
Tanzania ingeweza kufufua makubaliano ya namna hiyo ya uwekezaji jumuishi baina ya mataifa ya eneo hili yangeigeuza bandari ya Dar es Salaam kuwa bandari mojawapo kubwa ki-operesheni kwa kupakua na kupakia mizigo, kuigeuza Dar es Salaam kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kwa kuvutia wawekezaji na namna tunavyoheshimu mikataba ya kimataifa n.k kama zifanyavyo nchi za bandari za Singapore, Dubai n.k
Nini kifanyike?
Wazo la rais Paul Kagame linaweza kukabaliwa kwa kuwaingiza Rwanda katika ubia, nini kinashindikana ikiwa airport ya KIA Klilimanjaro Airports tumewakaribisha OmanAirports kuwa wabia ktk uendeshaji.
Nini sababu ya sisi majirani wa kihistoria na tamaduni kuogopana kuendesha miradi mikubwa ya reli na bandari mpaka twende alika kampuni ya India, China au South Afrika waje waendeshe wakati kuna mfano hai kuwa kulikuwepo ukaribu wa uendeshaji wa reli, gati na bandari baina ya nchi hizi jirani na zilisaini mikataba iliyona manufaa kwa eneo hili la Afrika hususan Ruanda-Urundi-Tanganyika na Free Congo? Tuache chonyo kwa kisingizio cha uzalendo uchwara wakati diplomasia ya kweli ya kiuchumi kupitia mikataba maarufu wa mwaka 1921 kama ya Belbases Agence belge de L'Est Africain. Belbase.Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro
Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...www.jamiiforums.com
Le gènèral Tombeur et Bataille de Tabora
22. Exchange of notes accepting the protocol signed at Kigoma, on 5 august 1924, relative to the Tanganyika-Ruanda-Urundi frontier. Brussels, 17 May 192646,47
(46League of Nations, Treaty Series, vol. 54, p. 239.)
(47See also the Agreement between the United Kingdom and Belgiun regarding Water Rights on the Boundary between Tanganyika and Ruanda-Urundi, London, 22 November 1934, in Legislative Texts and Treaty Provisions concerning the Utilization of International Rivers for Other Purposes than Navigation (United Nations publication, Sales No. 63.V.4), p. 97.)
No. 1 - The British Ambassador at Brussels to the Belgian Minister for Foreign Affairs
Brussels, 17 May 1926
Monsieur le Ministre,
I have the honour, under instructions from His Majesty's Principal Secretary of State for Foreign Affairs, to convey to Your Excellency by the present note the formal acceptance by His Majesty's Government of the Protocol signed at Kigoma on 5 August 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.
I am at the same time instructed to draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and to invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that, at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.
I should be grateful if Your Excellency would be good enough to confirm to me that the Belgian Government is in agreement with His Majesty's Government with regard to the arrangements indicated in the preceding paragraph.
I avail myself of this opportunity, etc.
No. 2 - The Belgian Minister for Foreign Affairs to the British Ambassador at Brussels
Brussels, 17 May 1926
Your Excellency,
I have the honour to acknowledge receipt of your letter of today's date, in which you are good enough to inform the Royal Government that His Britannic Majesty's Government accepts the Protocol signed at Kigoma on August 5, 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika Territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.
The Belgian Government also approves these documents.
At the same time you draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.
The Belgian Government has the honour to confirm to Your Excellency that they are in agreement with His Britannic Majesty's Government with regard to these arrangements.
................................................................
9 December 2020
Rais Magufuli aeleza sababu ya somo la Historia kuwa la lazima
Magufuli : Historia ya kweli ifundishwe, vijana lazima waifahamu historia yetu tumetoka wapi. Haiwezekani watoto wetu wafahamu historia ya Mansa Mussa wa huko Afrika ya Magharibi lakini hata ya "kwetu" hawaifahamu. ( Kigoma iliyokuwa ndani ya Ruanda-Urundi mpaka 1924 chini ya utawala wa Ubeljii) hawaifahamu.....
100 YEARS BELBASES
A FORGOTTEN PAGE OF BELGIAN COLONIALISM IN AFRICA
Belgian bases in East Africa
The Belgian colonial period ended with the independence of Burundi and Rwanda on July 1, 1962, but there is still a vestige of our colonial past: the Belbases in Tanzania.
In 1919, during the negotiation of the Treaty of Versailles, Great Britain was able to seize almost all the German colonies in East Africa. Rwanda and Burundi became Belgian mandate areas.
But Belgium, which had also participated in the war effort in East Africa, was not satisfied, protesting strongly. She received in 1921 from the British a commercial gesture as a consolation, the so-called Belbases (from "Belgian Bases"), sites in two ports of Tanganyika: Kigoma on Lake Tanganyika, and Dar es Salaam on the Indian Ocean , with free transit on the railway between these two ports.
This agreement was signed 100 years ago, on March 15, 1921.
Belgium leased the concession for a symbolic franc per year, where it could build docks and warehouses, initially in perpetuity, from 1956. for 99 years.
Goods to and from the Belgian colonies in Central Africa could pass tax-free via the railway. The Belgian government entrusted the operation to a private company, the Belgian East African Agency, which later became the International Maritime Agency (AMI).
In 1956, the Belbases were transferred to the colonial government, which now funded the infrastructure. After the independence of Congo, Burundi and Rwanda, the Belbases became the joint property of the former colonies.
The transit zone gradually lost its economic importance and, certainly after the riots of 1991 (Congo) and 1994 (Rwanda), traffic from Central Africa stopped. Between 1994 and 1995 the AMI began discussions on an "honorable end" to the management agreement, in 1996 Tanzania took over the sites.
Even if they have not been used for 25 years, in theory these Belbases still exist, because the four countries (Tanzania, Burundi, Congo and Rwanda) have not yet been able to agree on compensation for the takeover of the installations.
March 15, 1921
On March 15, 1921, the Belgian and British governments signed a convention concerning " the free passage of persons, mail, goods, ships, vehicles and wagons from or to the Belgian Congo ", including the protectorate of the Rwanda - Urundi.
The last Belgian manager
From January 1992 to December 1995, Guido Fallentheyn was the last Belgian manager of the Belbases in East Africa.
Source : Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique
Unasema reli na atc zilishindwa sababu waliopewa hawakuwa na uzoefu? Nadhani pengine umesahau walipewa akina naniReli na atc zilishindwa sababu walipewa wasio na sifa na uzoefu.
Bandari kukiwa na ubia na kampuni kubwa Duniani serikali ikashika 51% ,faida itaonekana.
Kuna Dubai port , Nagoya port , busan port , Rotterdam port na Hamburg port
Daressalaam Imekaa sehemu nzuri Katika Afrika , uwekezaji wowote utalipa.
Utendaji wa sasa bado uwezo wake ni mdogo , huyo mkurugenzi aliletwa afanye mabadiliko ameshindwa.
Au ikishindikana waingie ubia wa ushauri wa kitaalamu wa uendeshaji kama walivyofanya Trc wameingia ubia na korail wa uendeshaji na ushauri
Rwanda na Burundi ni mikoa yetu sawa tu na Tanga au Mara au Ruvuma, na hata kusema tu kwamba Hutu ni Mtusi au Mhutu kwa kufikiria tu kwamba hai ni warundi au Wanyarwanda ni kutokujua tu , hayo ni makabila yetu huku Tanganyika pia,.
Tatizo sisi tunatumia historia kukomoana kuanzia na kuchelewesha nafasi yetu ya kipekee huku historia inatuonesha kuwa kama ilivyo barabara ya hariri silk road China’s Massive Belt and Road Initiative wanayoiona wa China kiuchumi sisi tuna barabara ya reli & bandari ya BelBases inayotupa mtaji mkubwa bandari yetu ya Dar es Salaam iwe kubwa kama ya Dubai.Extract from the Moniteur Belge n° 113 du 23.4.1921Belbases Convention
MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS
-----
CONVENTION BETWEEN BELGIUM AND GREAT BRITAIN
TO FACILITATE BELGIAN TRAFFIC THROUGH THE
TERRITORIES OF EASTERN AFRICA
Amelazwa Muhimbili kitengo cha mifupa (MOI) lakini jana kasomewa mashtaka ya uhujumu uchumi akiwa kitandani, kesi inahusu ufisadi wa 4.2 billions.Hivi kipande wa Jakaya yuko wapi
Tunashindwa kuitumia history kama mwalimu wetu wa kutuonesha wapi nafasi yetu kama taifa pendelewa kijiografia,Tatizo sisi tunatumia historia kukomoana kuanzia na kuchelewesha nafasi yetu ya kipekee huku historia inatuonesha kuwa kama ilivyo barabara ya hariri silk road China’s Massive Belt and Road Initiative wanayoiona wa China kiuchumi sisi tuna barabara ya reli & bandari ya BelBases inayotupa mtaji mkubwa bandari yetu ya Dar es Salaam iwe kubwa kama ya Dubai.
Ports and free zone operator DP World is driving Dubai's efforts to be a leader in global trade
Bandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Binafsisha hizi BANDARI, naona zinatupa shida kubwa kuziendesha au recruits freshers kutoka University, peleka wachache pale Durban, Capetown, Rotterdam, Botswana (dry port)wakajifunze kwa 24mth kuhusu uendeshaji wa hizi bandari, na ajira mpya zifanyike yaani we need to start upya