Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.

Kiiza kaenda NCAA na dereva wake, Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.

Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
 
Angetengua na uteuzi wa wazir wa maji ingekuwa poa zaid
 
Kuna umuhimu wa ku-review JD ya Raisi wa Nchi, not ya JD ya Mama Samia, nazungumzia Raisi wa Nchi, hizi tengua na teua sijawahi kuona zikiwa na tija, zaidi zinaongeza gharama Tu maana hao wote wanapewa stahiki zao na baada ya muda WAnaondoshwa bila kupewa sababu za msingi.
 
Kwani huyo ni mhaya? Wambea wanasema ni mkimbizi pandikizi na inaweza kuwa sababu ya kutenguliwa.
 
Amekosa ninj hadi kutenguliwa?. Na mkewe alikuwa bado anaishi flats za TANAPA itabidi aondoke. Duu!
 
Ila hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.

Mimi nilijua katunguliwa(kapigwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukuzwa kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…