Rais Samia athibitisha uwepo wa mgonjwa mmoja wa Marburg nchini Tanzania

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

Soma pia: Wizara ya Afya: Uchunguzi uliofanywa mpaka sasa haujathibitisha uwepo wa virusi vya ugonjwa wa Marburg katika mkoa wa Kagera


Your browser is not able to display this video.



Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.


Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus Wazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

Pia soma:
~
Wizara ya Afya: Uchunguzi uliofanywa mpaka sasa haujathibitisha uwepo wa virusi vya ugonjwa wa Marburg katika mkoa wa Kagera

~ WHO: Watu nane wamefariki Kagera kwa ungojwa unahisiwa kuwa ni Marburg
 
Mna serikali, ugonjwa unazuka, mpo kimya mpaka WHO waje kuitangazia dunia kwamba Tanzania ina Marburg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…