Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
CCM CHAMA LAO || SAMIA RAIS WAO

View attachment 1971962

Mzee wa Legacy
 
waoooh!
 
Hatari na nusu aise
 
Nzuri sana
 
Ambulance tu kelele nyingi...
SSH akifanya ka kitu kadogo tu, keleleeeeee...

Akinunua hata simu "Samia anunua iphone13"

Mnakera, mpo very insecure... Ni ishara kwamba raisi haaminiki... acheni vitu viongee
 
Sasa wewe ungejuake?
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
nzuri sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…