CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #141
Daah nchi ngumu sana hii,Bado saaana kutambua shida wapatayo wananchi na mahitaji yetu ya msingi na kipaumbele katika huduma ya Afyaaa.
Ni watu wangapi wananufaika na ambulance kati ya watu milioni karibu sitini? Gharama ya ambulance hizo zingetosha kuikoa maisha ya wananchi wangapi wanaokufa kwa kukosa dawa na mahitaji ya msingi katika Zahanati zetu vijijini ambako watu wa Hali ya chini wanaishi?
Ili nani achukue Urais?Ma trillion ya beberu kwa ajili ya kupambana na covid
Amalizie kipindi chake akae bench,yatosha experience aliyopata.
KAZIIENDELEE KWA KASI NA NGIVU ZAIDIHii chanjo mama enu alivyoishupalia.
Inamnufaishaje mgonjwa aliyekuwepo Nanguruwe, Kazuramimba, Kibondemaji na kungineko ambako usafiri wa kufika kwake ni baiskeli na bodaboda?Daah nchi ngumu sana hii,
Yaani wewe hutaki ambulance?
Khaaaa kaaa
KAZIIENDELEE KWA KASI NA NGIVU ZAIDI
Hizi ambulance ni mara ngapi ya ambulances zilizonunuliwa awamu ya nne? Mbona unalinganisha awamu ya tano tu? Sisi tujua hii ni awamu ya tano unaiitaje awamu ya Sita wakati hatujafanya uchaguzi mkuu?Mtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini,kabila,rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona,Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao ( referral hospitals )
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi,
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Mkuu JPM alinunua kwa mkopo kama Samia anavyofanya sasa, alijua namna ya kuongea kwa jeuri mpaka mimi na wewe tukaamini ni kweli.Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Mtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini, kabila, rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona, Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini.
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao (referral hospitals).
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi.
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Mkuu JPM alinunua kwa mkopo kama Samia anavyofanya sasa, alijua namna ya kuongea kwa jeuri mpaka mimi na wewe tukaamini ni kweli.
Umewahi sikia Messi anajisifu kufunga magoliHalafu wala haringi yaani.
[emoji2][emoji2][emoji2] acha kujiaibsha bhana, Umeandika kitu gani hiko?Umewahi sikia Messi anajisifu kufunga magoli
Ila wale wasio na kiwango wakibahatisha utasikia matambo
She was bone with irone hand
Irone Lady Samia
Kukopa ni sehemu ya bajeti ya SerikaliCcm 2025 mpumzisheni huyu ssh..ni aibu kwa nchi..tunakopa kila siku sijui tutalipa na nini?raslimali zetu zimerudi kwa ma beberu.
#MaendeleoHayanaChama
Ile haikuwa sawa kabisaKuna mtu alinunua magari miasaba ya kubeba askari wakupiga watu, hivi zile ashok ziko wapi sikuhizi
Kazi iendeeInapendeza sana...