Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo



Yaani wamewapa mpaka namba! badala ya kutoa hoja mnatoa matangazo!
 
Fedha za ndani
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji

Fedha za ndani 😂🤣 endelea kudanganyika
 
Nimejaa tele mtoto wa mama wa kwanza wa taifa

Mungu amlinde mama yetu[emoji7]

[emoji848]Safari hii umejiunga na genge la wanaotandaza propaganda za mama vs jiwe? Well, hongera kwa kujaribu kutembea juu ya ukuta mwembamba sana. Lakini, tread very carefully on your integrity. CCM si chama “kile kile”, you know.
 
[emoji848]Safari hii umejiunga na genge la wanaotandaza propaganda za mama vs jiwe? Well, hongera kwa kujaribu kutembea juu ya ukuta mwembamba sana. Lakini, tread very carefully on your integrity. CCM si chama “kile kile”, you know.

Kwani hiyo safari ingine unayoijua wewe nilikua wapi??

Sijawahi kuwa na kada, ila siku zote ninaamini kwenye taifa kwanza.

Samia Suluhu Hassan ni rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hilo halipingiki, na ni rais wangu.

Sasa wewe unaponiambia natembea kwenye uzi mwembamba ni kwamba unanitisha kwa lipi?😂😂
Hapo nilichokolichokosea ni kusema Mungu amlinde?? au nimekosea kumwita mama???

Au integrity yako ulitaka niseme Mungu amfanyaje labda???

Kumlinganisha JPM na SSH ni uhuni mwingine na uchonganishi wa maneno ambao hata yeye mama haukubali. Kila mtu ni bora na kila mtu ni tofauti kwa aina yake

 
Umemjibu vizuri Sana aise,

Hapa Taifa kwanza
 
Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Relax. Naamini unajua vyema kuwa mimi sitishi, sichonganishi wala si mhuni, bali mtazamaji mzuri sana. Nilikuwa nakupongeza tu na kukupa ka-advice.

Wasema wewe hujawahi kuwa kada ila muumin wa “taifa kwanza” na mtu wa tofauti kwa aina yako. Pongezi nyingine zaidi kwa hilo. Halina ubishi. Well appreciated. Na mimi ni mtazamaji wa aina yangu.
 
CCM CHAMA LAO || SAMIA RAIS WAO

View attachment 1971962
Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
 
kwani shida nini mkuu?
 
Yamefana sana kabisa, Hongera Rais Samia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…