Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Samia Suluhu Hassan atoa onyo kali kwa watia nia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 walioanza kufanya kampeni za mapema kabla ya muda.
Msajili wa vyana anafanya kazi huko? Yeye ni kusubiri wapinzani wakosee step moja tu ndio atoe pua yake kukoromea na kutishia kuvifungia vyama?
Mpaka Rais na Mwenyekiti wa chama tawala anasema ana ushahidi yeye anakosaje taarifa hizi na kuzifanyia kazi?
Raia muda wa kuwachinja kwenye box unakuja, nguvu yote tunayo, tusikae kulaumu wakati nguvu ya kuwaadabisha tunayo.... tuawakomeshe chawa, turudishe heshima nchini
Pia soma > Uchaguzi 2025 - UWT yatoa onyo kwa wana CCM walioanza kufanya kampeni za chini kwa chini kuelekea Uchaguzi Mkuu