Rais Samia awapongeza Yanga FC kutinga nusu fainali ya CAFCC. Wameandika historia kubwa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
“Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.”

 
Asante mama

Fanya m Kwa Kila goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…