Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025

Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.

View: https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.18.49_a34b8a41.jpg

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.18.56_0d02694f.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa LPG Terminal GBP Gas Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.18.53_ec2dbde1.jpg

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.19.03_5d3ae00d.jpg


===================

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.03.24_55f538e2.jpg


Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.03.26_7439496b.jpg

WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.03.33_9e822bf0.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.03.49_e37dcba4.jpg
WhatsApp Image 2025-03-01 at 13.03.46_da86b692.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyakazi wa Bandari ya Tanga mara baada ya kukagua maboresho ya gati mbili mpya wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
 
Hakika Mh. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpambanaji mnoo haikuwa kazi rahisi hata kidogo ziara ilikuwa ndefu na kazi ilikua nzito.
Hongera sana Mh. Rais.
 
Huu mradi ni wa serikali au
Wao ndy wanaufadhili

Ova
 
Safari inagumu ganai hiyi?
Ndio kazi aliyoitaka pole ya nini?
Nchi ina nzi wengi sana
CHuki zimewazidi hadi zitawatoa roho,
Yani kumpongeza Mh. Rais pia kwako ni tatizo.!
Lissu alipofanya ziara nyumbani kwao Singida mlipongeza na mlikuwa sahihi 😃😀😁
 
Huu mradi ni wa serikali au
Wao ndy wanaufadhili

Ova
Huu sio mradi ya serikali 100% vinginevyo neno GBP lisingekuwepo.
Huenda tuna hisa au ni muekezaji peke yake 100%
 
CHuki zimewazidi hadi zitawatoa roho,
Yani kumpongeza Mh. Rais pia kwako ni tatizo.!
Lissu alipofanya ziara nyumbani kwao Singida mlipongeza na mlikuwa sahihi 😃😀😁
Ni serikali inafanya kwa ushirikiano na wananchi hivyo sio sahihi kusema Samina amejenga..., Samia amenunua,...inaudhi sana!
 
Safari inagumu ganai hiyi?
Ndio kazi aliyoitaka pole ya nini?
Nchi ina nzi wengi sana
Ni ujinga tupu mkuu, eti pole alikuwa anazunguka na bodaboda? hapo kalipwa malioni ya pesa za masikini, mama zetu wanaamkia shambani tena kwa miguu wanafanya kazi kubwa bila malipo, eli unampa mtu pole anashida kwenye V8
 
Back
Top Bottom