Rais Samia aweka Rekodi Makusanyo ya Kodi 1.9 Trilioni Mwezi Septemba 2021

Dhuluma ya kukata kodi mara mbili mbili itawatokea puani, huwezi kumkandamiza mnyonge wakati wote, hicho kilio tumemwachia Mwenyezi Mungu. Muda ni somo zuri sana.
 
Sisi wananchi hatutaki siasa, 20+ trillion ni nyingi,tunataka kuona real change kwenye maisha ya Watanzania,figures hazitusaidii sana.

Sisi wengine tunaamini bado tunapigwa,we believe we can collect more,>4 trilion.
 
+700mil za diamond๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ