Rais Samia azindua nyumba 644 za makazi Magomeni Kota, akubali ombi la kupangisha kwa utaratibu wa Mpangaji Mnunuzi

wawekewe kipengere cha kutouza hizo flats - kana anashida na hela basi arudishe nyumba hiyo serikalini kisha apewe hela zake. - bila hivyo hatukawii kuanza kuwaona wahindi na wachina kwenye hayo magorofa very soon.
Ngoja waanze kukaanga masamaki kwa kuni
 
Naona kama stori tu, hakuna wanyonge wanaoishi pale, Ule mradi mzuri lakini implimentation ni ngumu:
Patakuja kuwa Dandora ya Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…