Pre GE2025 Rais Samia: CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi bali tutunge Sera mpya zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa

Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally

Source: Upendo TV
 
Hivi YUESIEIDI imefutwa?

Nje ya mada lakini.

Mambemberu yasije itumia kushininkizya tupurakitisi rili demokorasi kwenye ng'waka huu wa bhuchaguzi ili tuendelee kula fyao.
 
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa

Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally

Source: Upendo TV
Kuna Mzer Hombe hajielewi kwa nn yuko.pale na 80yrs anaropoka tu kuwa eti wana hati miliki zer hovyo kabisa hana sera za ushawishi .....anafhani siasa za 1970 huko ? Kizazi hiki sio kile cha siasa ni.kilimo sasa kilimo ni uwekezaji na tech juu yake.....ajue karne hiii sio yake apumzike.....asifanye wamchoke hata mwezi hana....
 
Ya
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa

Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally

Source: Upendo TV
Yani watunge uongo mpya
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,hapa Samia amewashauri vizuri wanaccm. Inaonyesha Samia anataka kuendana na shauku ya wakati wa sasa.
Zamani tuliaminishwa Siasa ni Kilimo 😂
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,hapa Samia amewashauri vizuri wanaccm. Inaonyesha Samia anataka kuendana na shauku ya wakati wa sasa.
Nawewe umezikubali kamba kama zile za 4R tulizofungwa halafu uchaguzi wa serikali za mitaa wakafanya yaleyale, au zile kamba za kuboresha mfumo wa haki jinai halafu Dr.Slaa ananyimwa dhamana kwa maelekezo kutoka juu.

Ulaghai wa hii awamu ni wa another level.
 
Samia anajua CCM haihitaji sera wala kura bali tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama kushinda.

Samia kama alivyofanya kwenye chaguzi za mitaa na uchaguzi ya mwenyekiti, atafanya wizi wa kura na kukiuka katiba ya nchi hivyo hivyo au zaidi October 2025.
 
Kwenye maisha ogopa sana mwizi anaposema ameokoka , na anajenga kanisa, mara nyingi huwa ni gia mpya za kutengeneza makucha yake vizuri,
 
CCM bila hii tume fake inayoteuliwa na ccm wenyewe haiwezi kushinda uchaguzi wowote halali
 
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa

Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally

Source: Upendo TV
Salaam kwa Mwanahistoria.
 
Wasira ana mawazo gani mapya?
 
Back
Top Bottom