johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna Mzer Hombe hajielewi kwa nn yuko.pale na 80yrs anaropoka tu kuwa eti wana hati miliki zer hovyo kabisa hana sera za ushawishi .....anafhani siasa za 1970 huko ? Kizazi hiki sio kile cha siasa ni.kilimo sasa kilimo ni uwekezaji na tech juu yake.....ajue karne hiii sio yake apumzike.....asifanye wamchoke hata mwezi hana....Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally
Source: Upendo TV
Yani watunge uongo mpyaRais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally
Source: Upendo TV
Zamani tuliaminishwa Siasa ni Kilimo 😂Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,hapa Samia amewashauri vizuri wanaccm. Inaonyesha Samia anataka kuendana na shauku ya wakati wa sasa.
Nawewe umezikubali kamba kama zile za 4R tulizofungwa halafu uchaguzi wa serikali za mitaa wakafanya yaleyale, au zile kamba za kuboresha mfumo wa haki jinai halafu Dr.Slaa ananyimwa dhamana kwa maelekezo kutoka juu.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,hapa Samia amewashauri vizuri wanaccm. Inaonyesha Samia anataka kuendana na shauku ya wakati wa sasa.
Salaam kwa Mwanahistoria.Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally
Source: Upendo TV
Wasira ana mawazo gani mapya?Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele ya Wananchi zinazobeba uthubutu wa kutatua matatizo yao locally and globally
Source: Upendo TV
Safiii, Wewe mjanja umeshtukaHivi YUESIEIDI imefutwa?
Nje ya mada lakini.
Mambemberu yasije itumia kushininkizya tupurakitisi rili demokorasi kwenye ng'waka huu wa bhuchaguzi ili tuendelee kula fyao.