“Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.Rais huyu sio lazima afanane na mtangulizi wake anayo akili timamu na anao uzoefu wa kutosha wa uongozi.
Pole sana kwa maumivu uliyonayo.
Unaendelea kuishi kwa unyonge.“Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.
”
— Luka 23:28 (Biblia Takatifu)
We msukule umekula?Mtoa maada kula tano
Watu hawajui ukweli wa mambo na Siri zilizopo ulimwenguni Hapa unaokaa chini ya yule joka kuu
Namuomba mama Kama akipungukiwa hekima na aombe kwa mwenyeziMungu anayetoa. Kuna dalili sio nzuri nchini tangu kukamatwa kwa Tani ya ngada baharini mpk kuachiwa kwa mafisadi mpk matukio ya wizi kuongezeka na corona kuogopwa tena Ni wazi TAMAA imewaka na zao la tamaa linafahamika.
Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.
Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana.
Lengo ni kuangusha state kwa gharama yoyote.
Alitokea nabii mmoja katika roho ya Elia, huyo alikuwa haangalii sura za akina Ahabu, sina mda wa kutosha kukuelezea namna huyo nabii alivyowanyoosha hao jamaa ili mioyo yao igeuke na kurejea katika uzalendo wa nchi yao.
Take care mama, hawa watu watakupoteza soon, historia inasema, Lucifer na malaika zake ni wapinzani wa Mungu na haitatokea wawe kitu kimoja na Jehova, na ikitokea hivyo haikosi kutokea kwa anguko kubwa la wafalme juu ya uso wa nchi.
Lucifer ni mshitaki wa ndgu zetu,hilo linajulikana, hakosi kuibua mashitaka ya uongo na ya kweli maana ndio kazi yake.
Kwa kipindi hiki tarajia mengi. Yatakuja kwa sura ya uzuri kumbe original intent ni ile ile iliyokuwako tangu kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu.
“Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
”
— 2 Wakorintho 11:14 (Biblia Takatifu)
Mtoa maada kula tano
Watu hawajui ukweli wa mambo na Siri zilizopo ulimwenguni Hapa unaokaa chini ya yule joka kuu
Namuomba mama Kama akipungukiwa hekima na aombe kwa mwenyeziMungu anayetoa. Kuna dalili sio nzuri nchini tangu kukamatwa kwa Tani ya ngada baharini mpk kuachiwa kwa mafisadi mpk matukio ya wizi kuongezeka na corona kuogopwa tena Ni wazi TAMAA imewaka na zao la tamaa linafahamika.
Mnyonge Samia kainuliwa sasa tumwache apige kazi.“Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
”
— Zaburi 113:7 (Biblia Takatifu)
Tena sio wakawaida bali ni wakiwango cha lami.Watu Wameteswa na kubambikiwa Kesi na wengine kuuwawa na wengine kutiwa vilema vya kudumu halafu anakuja Kiongozi kuongoza kwa HAKI ati ni kucheka na 'Nyani'? huu ni Upumbavu wenye kuhuzunisha.
Mtoa maada kula tano
Watu hawajui ukweli wa mambo na Siri zilizopo ulimwenguni Hapa unaokaa chini ya yule joka kuu
Namuomba mama Kama akipungukiwa hekima na aombe kwa mwenyeziMungu anayetoa. Kuna dalili sio nzuri nchini tangu kukamatwa kwa Tani ya ngada baharini mpk kuachiwa kwa mafisadi mpk matukio ya wizi kuongezeka na corona kuogopwa tena Ni wazi TAMAA imewaka na zao la tamaa linafahamika.
Watanzania tunachojua ni kwamba tarehe 17 March 2021, Mungu aliiokoa nchi yetu kutoka kwenye makucha ya ibilisi, ziraili mtoa roho na Dracula.Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.
Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana.
Lengo ni kuangusha state kwa gharama yoyote.
Alitokea nabii mmoja katika roho ya Elia, huyo alikuwa haangalii sura za akina Ahabu, sina mda wa kutosha kukuelezea namna huyo nabii alivyowanyoosha hao jamaa ili mioyo yao igeuke na kurejea katika uzalendo wa nchi yao.
Take care mama, hawa watu watakupoteza soon, historia inasema, Lucifer na malaika zake ni wapinzani wa Mungu na haitatokea wawe kitu kimoja na Jehova, na ikitokea hivyo haikosi kutokea kwa anguko kubwa la wafalme juu ya uso wa nchi.
Lucifer ni mshitaki wa ndgu zetu,hilo linajulikana, hakosi kuibua mashitaka ya uongo na ya kweli maana ndio kazi yake.
Kwa kipindi hiki tarajia mengi. Yatakuja kwa sura ya uzuri kumbe original intent ni ile ile iliyokuwako tangu kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu.
“Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
”
— 2 Wakorintho 11:14 (Biblia Takatifu)
Sikio la kufaUsipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.

Nenda ufika utawakuta,Ungefunguka uwataje hao nyani inawwzekana hata mama hawajui.
Yeye mwenyewe ni nyaniUngefunguka uwataje hao nyani inawwzekana hata mama hawajui.
Hvi kwa akili yako hata kama ni ndogo.baba anaweza kupangiwa maisha na watoto anaowalisha?.huyu mama ameamua kuwa sehem ya hao.mtabaki kujisemelesha tuu.kwenye tozo mlisema ameingizwa mkenge na mwigulu mother akawajibu kwamba wa tz hawajakataa tozo,na tutaangalia tuliweke sawa kama lina kasoro.mpaka Leo .alafu anakuja mjinga mmoja anasema mama anafanyiwa figisu.kwamba anashindwa kumuachisha kazi igp,au waziri yeyote anayemualibia.au ndio kusema anawaogopa.kwa mm nasema hayo yote mnayoyaona ndio maamuzi yake.kama sio maamuzi yake angelikuwa ameshawafukuza watu kaziUsipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.